Thursday, June 17, 2010

JAHAZI AFRICA LAZAMA HUKU ARGENTINA IKITAMBA!!!











Mchuano wa Kombe la Dunia umezidi kushika kasi na kushuhudia Argentina ikifuzu hatua ya mzunguko wa pili baada ya kuishushia kichapo Korea Kusini. Nigeria yenye imejikuta ikipata kichapo cha pili wakati Ufaransa nao jahazi lao likizama baada ya kuchabangwa na Mexico magoli mawili kwa nunge!!

No comments:

Post a Comment