Thursday, June 3, 2010

KIKOSI CHA ENGLAND CHATUA SOUTH AFRICA!!!


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uingereza chenye wachezaji ishirini na tatu kikiwasili nchini Afrika Kusini baada ya kukamilisha michezo yake Kimataifa ya Kirafiki kabla ya kuanza kwa Mchuano wa Kombe la Dunia siku saba baadaye!!!

No comments:

Post a Comment