
Nahodha wa Klabu ya Chelsea na Mchezaji wa Kimataifa wa Uingereza John Terry amehakikishiwa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake licha ya kumkosoa Kocha wake Fabio Capello wakati huu ambapo wanasaka nafasi ya kufuzu mzunguko wa pili!!!
No comments:
Post a Comment