Wednesday, June 9, 2010

FAINAL YA NBA MECHI YA TATU!!!








Fainal za NBA zinaendelea kupamba moto baada ya kuchezwa michezo mitatu na hadi sasa Los Angeles Lakers wanaongoza kwa mechi mbili za kushinda kwa moja dhidi ya Boston Celtics!!!

No comments:

Post a Comment