Sunday, June 6, 2010

DROGBA AFANYIWA OPERESHENI, ROBBEN AKIUMIA!!!



Siku chache kabla ya kuanza kwa Mchuano wa Kombe la Dunia nchini Afrika Kusini hofu yazidi kutanda kwa wachezaji nyota kuwepo. Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amefanyiwa operesheni kwenye mkno baada ya kuumia na hali yake inaendelea vizuri. Wakati mshambuliaji wa kimataifa wa Uholanzi Arjen Robben akiwa mashakani baada ya kuumia kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Hungary!!!

No comments:

Post a Comment