Wednesday, June 23, 2010

TIMU ZA AFRICA ZINAHITAJI MABADILIKO - OKOCHA!!!



Nahodha wa zamani na Kiungo wa Kimataifa wa Nigeria Jay Jay Okocha amesema Afrika inahitaji mabadiliko makubwa ili iweze kufanya vizuri kwenye fainali zijazo za Kombe la Dunia. Okocha amesema lazima nchi ziwekeze kwa kuwa na Makocha wazalendo pamoja na wachezaji vijana!!

No comments:

Post a Comment