Thursday, June 24, 2010

OBAMA AMTIMUA KAZI McCHRYSTAL!!!



Rais Barack Obama amemfuta kazi Kamanda wa Majeshi ya nchi hiyo aliyekuwa anasimamia shughuli katika nchi ya Afghanistan Stanley McChrystal. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda McChrystal kuikosoa serikali ya Rais Obama kwa kazi inayoifanya Afghanistan!!!

No comments:

Post a Comment