

Rafael Nadal mchezaji ambaye anaorodheshwa katika nafasi ya kwanza kwa Wachezaji wa Tennis upande wa wanaume amerejea kwa nguvu na kuanza kuonesha makali yake. Kwa mujibu wa orodha mpya ya ATP inaonesha Roger Federer akishika nafasi ya pili wakati Andy Murray akiangukia katika nafasi ya nne!!!
No comments:
Post a Comment