Monday, June 21, 2010

WACHEZAJI FRANCE WAGOMEA MAZOEZI!!



Kikosi cha Timu ya Taifa ya France Les Blue kimegomea kushuka Uwanjani kwa ajili ya mazoezi akionesha hasira yao baada ya Kocha Raymond Domenech kumuondoa Nicolas Anelka kwenye timu baada ya kumshushia maneno makali baada ya kumtoa nje!!

No comments:

Post a Comment