Thursday, June 24, 2010

MARADONA AFANANISHA KIWANGO CHA MESSI NA CHAKE CHA 1986!!!


Kocha Mkuu wa Argentina Diego Armando Maradona ameendelea kumsifia Mshambuliaji wake Lionel Messi ambaye ni mchezaji bora wa Dunia kwa sasa yupo katika kiwango bora kama ambacho alikuwa nacho wakati Argentina wanatwaa ubingwa mwaka 1986!!!

No comments:

Post a Comment