Thursday, June 3, 2010

GRANT KUKINOA KIKOSI CHA WEST HAM UNITED!!!


Kocha wa zamani wa Klabu ya Portsmouth Avram Grant ametangazwa ramsi kuchukua nafasi ya Giafranco Zola kukinoa kikosi cha Wagonga Nyundo wa Jiji la London Timu ya West Ham United!! Grant Kocha ambaye amefanikiwa kuipeleka Chelsea fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Ulaya miaka miwili iliyopita!!!

No comments:

Post a Comment