Thursday, June 17, 2010

LAKERS MABINGWA NBA!!!











Timu ya Los Angeles Lakers imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu nchini Marekani NBA baada ya kuifunga Boston Celtics kwa vikapu themanini na tatu kwa sabini na tisa. Bingwa anapatikana baada ya kuchezwa michezo saba ya fainal mwaka huu!!!

No comments:

Post a Comment