Wednesday, June 23, 2010

GWIJI LA DAWA ZA KULEVYA NCHINI JAMAICA LAKAMATWA!!



Christopher Coke maarufu kama Dudus amekamatwa na serikali ya Jamaicha baada ya kusakwa kwa muda sasa. Mfanyabiashara huyo maarufu wa dawa za kulevya wakati akisakwa mwezi uliopita alisababisha vifo vya watu zaidi ya sabini lakini hakupatikana. Msemaji wa polisi Owen Ellington amethibitisha kukamatwa kwa Dudus!!

No comments:

Post a Comment