Saturday, June 5, 2010

HAWA KUKOSA WORLD CUP SOUTH AFRICA!!!!







Tatizo la majeruhi limeendelea kuwaandama wachezaji wengi na hivyo kuwafanya wakose Mchuano wa Kombe la Dunia!! Wachezaji tegemeo wameendelea kuandamwa na majeruhi na kuchangia kuondolowe kwenye vikosi vyao!!

No comments:

Post a Comment