Monday, June 14, 2010

MSHIKE MSHIKE WA KOMBE LA DUNIA!!!







Michezo ya siku ya Jumapili kwenye picha huku Ghana Black Star ikiwatoa Waafrika Kimasomaso baada ya kuichabanga Serbia kwa goli moja kwa nunge. Algeria wenyewe walilala kwa goli moja mbele ya Slovenia. Shughuli inaendelea leo pale ambapo Simba Wasiofugika Cameroon watakaposhuka dimbani!!!!

No comments:

Post a Comment