Thursday, June 3, 2010

BENITEZ KUIKACHA LIVERPOOL!!!


Kocha Mkuu wa Klabu ya Liverpool Vijogoo vya Jiji Rafael Benitez huenda akaikacha klabu yake ya sasa kutokana na kuwepo kwa taarifa za kuahidiwa pesa nyingi na timu zinazomwania!! Benitez ambaye kwa sasa yupo katika mapumzikoanatarajiwa kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kukamilika kwa juma hili!!!

No comments:

Post a Comment