














Ghana ndiyo inakuwa timu pekee ya Afrika iliyofanikiwa kufuzu katika mzunguko wa pili kutoka Kundi D na kuungana na Ujerumani wakati Kundi B imeshuhudia Marekani na England nazo zikifuzu. Ghana itacheza na Marekani wakati England itakuwa na kibarua dhidi ya Ujerumani!!
No comments:
Post a Comment