Wednesday, June 23, 2010

MORGAN TSVANGRAI AWATIMUA MAWAZIRI WANNE!!


Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangrai amewafuta kazi mawaziri wanne kutoka Chama chake cha MDC. Mawaziri hao wametimuliwa baada ya kushindwa kutenda kazi ipasavyo kama ambavyo sera ya Mdc inavyowataka. Mawaziri aliowafuta kazi ni pamoja na Elias Mudzur ambaye alikuwa na dhamana ya Nishati, Waziri wa Nyumba Fidelis Mhashu pamoja na Manaibu Waziri wawili!!!!

No comments:

Post a Comment