Thursday, June 17, 2010

SOCCER CITY KUPIGWA SHUGHULI BAINA YA ARGENTINA NA SOUTH KOREA!!!


Mchezo wa mapema kwa siku ya leo utakuwa baina ya Korea Kusini dhidi ya Argentina kusaka nani atakuwa kinara wa kundi hilo baada ya kila timu kushinda mchezo wake wa kwanza!!!

No comments:

Post a Comment