Monday, June 14, 2010

FAINAL NBA YAZIDI KUFIKA PATAMU!!!






Fainal ya NBA imezidi kufika patamu baada ya Celtic Boston kushika usukani baada ya kushinda mchezo wake wa tatu dhidi ya Los Angeles Lakers. Kwa sasa Boston wanaongoza kwa michezo mitatu dhidi ya miwili ya Lakers. Shughuli kuendelea jumanne na iwapo Boston watashinda watakuwa mabingwa rasmi!!!

No comments:

Post a Comment