Tuesday, June 15, 2010

AFRICA YAZIDI KUHARIBU WORLD CUP!!







Matarajio ya Waafrika kufanya vizuri kwenye Kombe la Dunia yanazidi kufifia baada ya Cameroon nayo kupata kichapo kutoka kwa Japan kwa goli moja kwa buyu. Mabingwa watetezi Italy wenyewe wameambulia sare ya goli moja kwa moja dhidi ya Paraguay!!!

No comments:

Post a Comment