Sunday, June 27, 2010

ARGENTINA KUKUMBANA NA GERMAN ROBO FAINAL!!!














Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainal baada ya kuichakaza Mexico kwa magoli 3-1 huku German wakiwasambaratisha England kwa magoli 4-1. Sasa kipute cha Robo fainal kitakuwa kati ya Argentina dhidi ya German!!!

No comments:

Post a Comment