Monday, June 14, 2010

HOLLAND YAANZA KWA USHINDI DHIDI YA DENMARK!!!





Timu ya Taifa ya Uholanzi imefanikiwa kuanza kwa ushindi baada ya kuichabanga Denmark kwa magoli mawili kwa buyu na hivyo kuanza harakati za kusaka Ubingwa wa Dunia!!!

No comments:

Post a Comment