Sunday, June 20, 2010

KIKWETE KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO!!!


Rais Jakya Mrisho Kikwete leo mchana anachukua fomu ya kuwania Urais ikiwa ni nia yake ya kuomba ridhaa ya kuongoza katika ungwe ya pili baada ya kukaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitano ya kwanza. Zoezi hilo linatarajiwa kufanyika mkoani Dodoma wakati Zanzibar nako wagombea takribani nane wanatarajiwa kuchukua fomu pia!!!

No comments:

Post a Comment