Mchezo umepigwa usiku wa jana ambapo Boston Celtics walikuwa nyumbani na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa vikapu 96 dhidi ya 89 vya Wapinzani wao Los Angeles Lakers. Imesalia michezo mitatu kabla ya Bingwa kupatikana huku matokeo yakiwa mbili kwa mbili!!!
No comments:
Post a Comment