Thursday, June 10, 2010

SOCCER CITY STADIUM!!!




Hapa ndiyo South Africa na Mexico wafungua dimba la mchuano wa Kombe la Dunia. Saa chache zimesalia kabla ya kuanza kwa kindumbwendumbwe cha Kombe la Dunia ambacho kwa mara ya kwanza kinafanyika Barani Afrika, nchini Afrika Kusini!!

No comments:

Post a Comment