Thursday, June 24, 2010

AJALI YA GARIMOSHI YAUA 12 SPAIN!!



Ajali ya garimoshi imetokea asubuhi ya leo Kusini mwa Mji wa Barcelona nchini Spain. Watu kumi na watatu wamejeruhiwa kufuatia kutokea kwa ajali hiyo!! Garimoshi hilo liendalo kasi limepata ajali wakati linavuka makutano ya reli na barabara!!

No comments:

Post a Comment