Monday, June 21, 2010

FABIANO AKIRI KUUNAWA MPIRA!!!


Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil ambaye anakipiga katika Klabu ya Sevilla Luis Fabiano amekiri ni kweli aliushika mpira kabla ya kufunga goli la pili katika mchezo wao dhidi ya Ivory Coast. Goli hilo la pili lililalamikiwa sana na wachezaji wa Ivory Coast!!

No comments:

Post a Comment