Thursday, June 24, 2010

BECKENBAUER AANZA KUISHAMBULIA ENGLAND!!!


Franz Beckenbauer aanza kuikosoa England kabla ya timu hiyo hiajashuka dimbani jumapili hii kuumana na Ujerumani katika hatua ya mtoano. Beckenbauer ambaye alifunga moja ya goli dhidi ya England katika fainali za mwaka 1970 amesema kitendo cha England kumaliza katika nafasi ya pili ni upuuzi!!!

No comments:

Post a Comment