Monday, June 21, 2010

CAPELLO KUITEMA ENGLAND IKIONDOLEWA MAPEMA!!!


Kocha Mkuu wa England Fabio Capello ametangaza nia yake ya kukitema kikosi cha timu hiyo iwapo itaondolewa katika hatua ya makundi. Capello ambaye tayari ameshaongeza mkataba wa kukinoa kikosi hicho ameweka bayana hatua hiyo baada ya kuona mambo yanakwenda kombo kwa England!!

No comments:

Post a Comment