Sunday, February 7, 2010

WANAFUNZI WA FORM SIX WAANZA MITIHANI LEO!!

Wanafunzi wa Kidato cha Sita wameanza mitihani ya kumaliza elimu yao asubuhi hii. Mitihani hii ndiyo ya kukamilisha safari yao ya kumaliza elimu ya Sekondari na kwa wale watakaofanya vizuri wataendelea na elimu ya Juu. Kila la Kheri wanafunzi muweze kufanya vizuri katika mitihani yenu. Wadhungu wanasema Best Wishes!!

No comments:

Post a Comment