Tuesday, February 9, 2010

ROBINHO AANZA KUONESHA MAKEKE YAKE!!!


Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil ambaye amekimbia kusugua benchi Manchester City, Robinho ameanza kwa kucheka na nyavuni katika klabu yake ya Santos. Santos imefanikiwa kuichabanga Sao Paulo kwa magoli 2-1.

No comments:

Post a Comment