Tuesday, February 9, 2010

GOODLUCK ACHUKUA MADARAKA NIGERIA!!!!!


Bunge nchini Nigeria limemchagua Makamu wa Rais Goodluck Jonathan kuchukua nafasi ya Rais Umar Yar'Adua ambaye anasumbuliwa na maradhi ya ugonjwa wa moyo na yupo nchini Saudi Arabia kwa kipindi cha miezi miwili akipatiwa maibabu.

No comments:

Post a Comment