Monday, February 8, 2010

BECKHAM KUTOSHANGILIA AKIITUNGUA MAN UTD!!


Kiungo wa Kimataifa wa England ambaye anakipiga katika klabu ya AC Milan, David Beckham amesema iwapo ataifunga timu yake ya zamani ya Manchester United hatoshangilia. Beckham amesema hiyo inatokana na kuwaheshimu sana mashabiki wa Klabu yake hiyo ya zamani.

No comments:

Post a Comment