Wednesday, February 17, 2010

SALAM WADAU!!!

Jamani nilikuwa vakasheni kidogo huko Mo Town na tatizo sikuchukua kifaa cha kazi ndiyo maana nilikuwa kimya. Nilikuwa huko kuangalia mahubiri ya Kilimo Kwanza kama yanakwenda kwa kasi inayotakiwa. But sasa nimerudi na nitakushushia mambo kibao kutoka huko na sehemu zote ambazo zina nyuzi kwa ajili yako!!

No comments:

Post a Comment