Thursday, February 4, 2010

TATIZO KIGUGUMIZ!!!

Wadau naomba thamahani coz kulikuwa na kigugumizi kidogo kwenye kamtandao kangu kwa hiyo nikawa nashindwa kuwaangushia habari mpya. Lakini sasa mambo yamerejea kwenye mstari kama kawa. Tuendeleze kupashana kile na hiki kinachotokea. White naona umenuna kwa sababu cjamwaga nyuzii.

No comments:

Post a Comment