Saturday, February 6, 2010

NIGERIA YAMTIMUA KOCHA WAKE!!!!


Chama Cha Soka Nchini Nigeria NFF kimetangaza kumtimua kazi kocha wa timu hiyo Shaibu Amodu licha ya kuisaidia timu hiyo kuondoka na Ushindi wa Tatu katika Mchuano wa Dimba la Mataifa ya Afrika. Hii inakuwa ni muundelezo wa tabia ya NFF kuwatimua makocha kila baada ya mashindano makubwa!!!!

No comments:

Post a Comment