Sunday, February 7, 2010

CHELSEA YAIZAMISHA ARSENAL!!!!





Matajiri wa Jiji la London, Chelsea wamefanikiwa kuwachakaza Washika Bunduki wa Jiji la London, Arsenal kwa magoli mawili kwa buyu. Magoli hayo yamefungwa na Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tembo wa Afrika, Ivory Coast Didier Drogba.

No comments:

Post a Comment