Saturday, February 6, 2010

FERDINAND NAHODHA MPYA ENGLAND!!!


Kocha Mkuu wa England Fabio Capello amemtangaza Beki wa Kati wa Manchester United Rio Ferdinand kuwa Nahodha mpya wa timu ya Taifa akichukua nafasi ya Jonh Terry ambaye anakabiliwa na kashfa ya kumpa ujauzito mchumba wa mchezaji mwenzake Wayne Bridge.

No comments:

Post a Comment