Saturday, February 6, 2010

MKALI WA LEO!!!


Anaitwa Luis Almeida Dacunha maarufu kama Nani mmoja wa wachezaji ambaye amechangia Manchester United kupata ushindi katika michezo yake minne ya hivi karibuni. Mchezaji huyu iliwekwa kando na Mkongwe Sir Alex Ferguson lakini kwa sasa amerejea tena kwenye kikosi hicho!!

No comments:

Post a Comment