Monday, February 8, 2010

MWANAMITINDO ZAMDA GEORGE KAZINI!!!




Mwanamitindo Zamda George ambaye anakuja kwa kasi katika anga la mitindo na mavazi na kuwatisha hata wakongwe. Mwanadada huyu me namkubali kwa kazi zake ambazo anafanya na kama hauamini jaribu kumfuatilia utaamini. Tayari ameshashiriki matamasha mengi tu haya nchini ya Kitindo na Urembo. Keep it Up mdadaz!!!

No comments:

Post a Comment