Wednesday, July 7, 2010

WOZA 2010-SPAIN YAIFUATA HOLLAND SOCCER CITY KWA FAINAL!!









Timu ya Taifa ya Spain imefanikiwa kutinga hatua ya Fainal kwenye Mchuano wa Kombe la Dunia ambao unaelekea mwisho. Goli la Beki Carles Puyol lilitosha kusitisha ndoto za German kutinga hatua ya fainal na kusaka ubingwa wake wa nne!!!

No comments:

Post a Comment