Monday, July 12, 2010

WACHEZAJI BORA WOZA 2010!!



FIFA imemtangaza Diego Forlan kuwa mchezaji bora wa mchuano wa Kombe la Dunia mwaka 2010 wakati Thomas Mueller akiwa mfungaji bora sambamba na mchezaji bora chipukizi. Ikar Casillas amechaguliwa kuwa mlindamlango bora wa mashindano!!!

No comments:

Post a Comment