Wednesday, July 7, 2010

BARCELONA YASHINDWA KUWALIPA WACHEZAJI MSHAHARA WA JUNE!!!



Rais wa Klabu ya Barcelona Sandro Rosell ambaye amechukua nafasi ya Juan Larpota amekiri timu hiyo kushindwa kuwalipa mshahara wachezaji wake kwa mwezi June. Rosell amesema kinachofanyika kwa sasa tayari nchi hiyo imechukua mkopo wa £125m ili kunusuru iweze kulipa mishahara hiyo!!!

No comments:

Post a Comment