Thursday, July 8, 2010

FIFA KUFANYA MABADILIKO YA WAAMUZI!!!




Shirikisho la Kabumbu Duniani FIFA limetangaza litafanya mabadiliko makubwa kwa waamuzi ambao watachezesha mashindano yajayo ya Kombe la Dunia ambayo yatafanyika nchini Brazil mwaka 2014 baada ya kushuhudia makosa mengi yakifanywa nchini Afrika Kusini!!!

No comments:

Post a Comment