Monday, July 12, 2010

PICHA BORA YA WOZA 2010 NA WALA SI KARATE!!!


Kiungo Nigel De Jong akimrukia Xabi Alonso katika moja ya heka heka za kuwania mpira kwenye mchuano wa fainal katika Kombe la Dunia uliomalizika kwa Spain kutwaa ubingwa wa goli moja kwa nunge dhidi ya Holland!!!

No comments:

Post a Comment