Monday, July 12, 2010

MIKONO IKIWA IMESHIKA KOMBE- WOZA 2010!!!


Mikono ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Spain ikiwa imeshika Kombe la Ubingwa wa Dunia baada ya kuibanjua Holland kwa goli moja kwa nunge na hatimaye kutangazwa kuwa mabingwa wa WOZA 2010!!!

No comments:

Post a Comment