Friday, July 9, 2010

LE BRON JAMES AITWA MSALITI NA MASHABIKI WA CLEVELAND!!!



Mchezaji wa zamani wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Cleveland Cavaliers ambaye kwa sasa amehamia Miami Heat ametajwa kama msaliti kufuatia mashabiki wa Timu hiyo inashiriki katika Ligi ya NBA nchini Marekani kutiridhishwa na kitendo chake cha kuhama!!!

No comments:

Post a Comment