Friday, July 9, 2010

BELHADJ ATIMKIA QATAR!!!!



Beki wa Kimataifa wa Algeria ambaye alikuwa anakipiga katika Klabu ya Portsmouth Nadir Belhadj amekimbia katika klabu yake kufuatia kushuka daraja. Belhadj ameamua kukimbilia nchini Qatar na kujiunga na Klabu ya Al Sadd kwa ada ya uhamisho ya £3.5m!!!

No comments:

Post a Comment