Monday, July 12, 2010

SPAIN WATUA KWAO WAKIWA MASHUJAA!!!



Mabingwa wapya wa Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya Spain imewasili nchini mwao na kupokelewa kama mashujaa baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa!!!

No comments:

Post a Comment